JE KUFANYA MAPENZI NA MKEO AKIWA MJAMZITO KUNA MADHARA AU LAAA,JIBU HILI HAPA Unknown 1:49:00 PM health e: Ni kawaida kwa mwanaadamu aliye mzima kupenda kuwa na mtoto, na kwa namna ya upekee katika kuumbwa kwa mwanaadamu, hakuna njia nyingine yoyote ile ambako mtoto anaweza kupatikana bila ya maingiliano ya kimwili baina ya watu wa jinsia mbili tofauti (ukiachilia mbali instances chache ambapo mambo ya test tube na artificial insemination hutumika). Kifupi ni kwamba, kama mwanamke atataka kubeba ujauzito ni lazima akubali kuingiliwa, Vivyo hivyo kama mwanaume anataka kumbebesha mwenza wake ujauzito ni lazima ahakikishe kuwa amemwiligilia mke Hata hivyo, licha ya ukweli wa kuwa ili ujauzito upatikane ni lazima kuwe na kufanya mapenzi, kumekuwa na mkanganyiko sana juu ya tendo hili la kufanya mapenzi au kutiana kama wengine wanavyosema, pindi inapotokea mwanamke ameshashika ujauzito. Je, ni sahihi kufanya mapenzi wakati mwanamke